Mhe. Mkuu wa Mkoa akisikiliza malalamiko ya Wananchi baada ya kuwataarifu wananchi wenye migogoro ya ardhi kufika ofisini kwake
Mhe. Mkuu wa Mkoa akizungumza na wanawake wajane alipokuwa nao kusikiliza malalamiko yao
Mhe. Mkuu wa Mkoa akisikiliza kero za wananchi katika moja ya ziara zake alizofanya za kwenda kusikiliza kero za wananchi katika mitaa mbalimbali jijini Dar es salaam